SHO MADJOZI JOHN CENA LYRICS: WATCH AND LISTEN

SHO MADJOZI JOHN CENA LYRICS: WATCH AND LISTEN

Intro]
Shiii!..
Sho…
Madjozi!
[Verse 1]
Unajifanya hunioni labda mimi John Cena
Ulinifanya mfungwa wako labda mi ni Madiba
Sina plan, sina cash, hata pesa mi sina
Eeh ndo maana unanitreati kama nimekuibia

Comments